jamanie naombeni tuulizane na tupate jibu sahihi katika hili......
kwanini ajali kubwa za usafiri wa kwenye maji huwa ni kipindi cha miezi ya 7,8 na 9?????
kwani ukicheki MV SPICE, na zinginezo unazozijua zilikuwa kipindi hichi, na ya sasa kipindi hicho hicho yyyyyyyyy.......
ni kitu gani kilicho nyuma ya pazia?????????
naogopa atakusafiri tena na usafiri wa kwenye maji
Home
>
Untagged
0 comments:
Post a Comment