Habari Mpya

Sunday, August 04, 2013

JAMANI WATANZANIA WENZANGU, HII NDIYO MALI YA WATANZANIA INAYOWANUFAISHA WATU WEUPE.


WAPENDWA HII NDO MIJISU(DINAZOR) YETU ILIYOPO HUKO UJERUMANI KTK JUMBA LA MAKUMBUSHO KTK NCHI HIYO..ILIGUNDULIWA MKOA WA LINDI MIAKA HIYO..
NAKAMA UNAVYOONA JAMAA WAMEKUWA WAKIFAIDIKA SANA KWA KULIINGIZIA PATO LA TAIFA LAO KWA MTIRIR
IKO WA WATALII WANAOUZURU TAIFA LA UJERUMANI 



MIMI NINGEPENDA MH RAIS WETU MPENDWA JAKAYA MRISHO KIKWETE KWA KIPINDI HIKI AFANYE JITIHADA KUBWA YA KUILETA MIJISU YETU..KISHA MAPATO YANAYOPATIKANA HUKO GERMAN TUGAWANE KWASABABU HII NI MALI YETU SI YA WAJERUMANI...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: JAMANI WATANZANIA WENZANGU, HII NDIYO MALI YA WATANZANIA INAYOWANUFAISHA WATU WEUPE. Description: Rating: 5 Reviewed By: mcjohnminja.blogspot.com
Scroll to Top