Habari Mpya

Monday, March 24, 2014

TOA MAONI YAKO.... MICHEPUKO KWELI NOOOMA

hadi leo jamaa anawaza atarudi vipi nyumbani kwake, kwani alimuaga mke wake anaenda China kwa ndege ya Malaysia ambayo ndiyo hiyo iliyopotea, tena alisindikizwa mpaka airport, kumbe akazama mtaa wa tatu kwa nyumba ndogo, sasa ndege imepotea na abiria wote. je akirudi kwake atajieleza vipi aelewekee...

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: TOA MAONI YAKO.... MICHEPUKO KWELI NOOOMA Description: Rating: 5 Reviewed By: mcjohnminja.blogspot.com
Scroll to Top