![]() |
Wanawake makahaba wa India |
Polisi
Mashariki mwa mji wa Calcutta nchini India, wanachunguza tukio la
mwanamke ambaye jamii yake ilimtelekeza katika bwawa,kwa kushindwa kuzaa
mtoto wa kike ambaye baadaye walimtegemea kuwa kahaba.
Mwanamke huyo aliiambia BBC kwamba familia ya wakwe zake walianza kumdhihaki baada ya kuzaa watoto wa kiume watatu mfululizo, na kufahamishwa kwamba familia hiyo kwa kawaida huwapeleka watoto wa kike wa ukoo wao kufanya kazi ya ukahaba, iweje yeye azae watoto wakiume watupu? Imetolewa na BBC Swahili
0 comments:
Post a Comment