Habari Mpya

Thursday, February 25, 2016

Prof. Muhongo: Serikali imetangaza gesi nyingine

Baada ya hedlines za muda mrefu kuhusu kugundulika kwa gesi Mtwara, kumbe utafiti ulikuwa unaendelea maeneo mengine ya Tanzania kuweza kubaini kama kuna sehemu nyingine yenye gesi


Serikali imekuja na habari mpya kwa Watanzania kupitia kwa Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo kwamba Gesi imegunduliwa na wawekezaji Ruvu mkoani Pwani.‘kule Ruvu wamegundua gesi na tutaitumia ni vizuri kwa huko Ruvu tutaona tutaitumiaje’
Kwa hisani ya Millard Ayo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: Prof. Muhongo: Serikali imetangaza gesi nyingine Description: Rating: 5 Reviewed By: mcjohnminja.blogspot.com
Scroll to Top