Watu
wengi tumekuwa tukisikia kuwa Chatu ni nyoka ambaye humeza vitu vizima
lakini pengine pia wengi wetu hatujawahi shuhudia jinsigani chatu huyo
jinsi anavyofanya mpaka kummeza mnyama...
Huu ni mfano mzuri ambapo Chatu huyu alifanikiwa kuumeza kuumeza mnyama Swala ....
Chatu akiwa amemkamata Swala na kuanza kumvunja vunja ili aweze kummeza
Hapa Chatu akiwa anaongeza Bidii za kumkunja na kumvunja mifupa Hapa anaendelea kumvunja zaidi huku akimmeza
Akiendelea Kummeza
Hapa anavuta ngozi huku akumvuta kuumeza
Hapa akiwa anammalizia kuumeza

Miguu ndio hiyo inaishia sasa....
Hapa
amemaliza kuumeza unaweza ukasema amefika mpaka mwisho ... lah ..
chatu ni mkubwa sana amebakia sehemu kubwa tuu hapa mara baada ya
kuumeza swala huyo...
0 comments:
Post a Comment