Mfanyakazi
wa mgodi wa kuchimba dhahabu wa Bulyanhulu, unaomilikiwa na kampuni ya
Acacia, akiwa na baadhi ya akina mama sehemu ya uchimbaji chini ya ardhi
(underground mining), wakati akina mama wa vijiji vinavyozunguka mgodi
huo na wafanyakazi wa kike walipotembelea ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha
siku ya wanawake Duniani, leo Machi 8, 2016.
(Picha na K-VIS MEDIA/Khalfan Said)
|
0 comments:
Post a Comment