Habari Mpya

    Wednesday, July 13, 2016

    `"UJUMBE WAKO WEWE!!!!


    Umekufa? [Hapana]

    Upo gerezani? A[Hapana]
     

    Umewahi onja maumivu ya kuwa mtoto wa mtaani? [Hapana]
     

    Umelazwa hospitali? [Hapana]
     

    Je, unakosa chakula na sehem ya kulala? [Hapana]
     

    Je, umekosa familia? [Hapana]
     

    Wewe nikipofu?[Hapana]
     

    Je, upo katika misukosuko ya kuhatalisha maisha yako? [Hapana]

    Tuma neno ""AHSANTE"" kama umeamka mwenye afya tele!
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: `"UJUMBE WAKO WEWE!!!! Description: Rating: 5 Reviewed By: mcjohnminja.blogspot.com