![]() |
kama mnavyoona hapa ni darasa linaendelea, ata mudi ya kusoma haipo..... |
![]() |
na hii ni baadhi ya familia zinazo teseka na uhitaji wa chakula... |
![]() |
wenzetu wanawaza mambo ya technology sisi bado twaumiza kichwa kuboresha barabara.... |
bado najiuliza hii hali ni nani alaumiwe, ni mwananchi au kiongozi??????? na sisi watanzania ni tuna umasikini wa hadhi au hali???????
0 comments:
Post a Comment