ze loliondo malkia
kwa wale wasiyo mjua huyu ndiyo queen wa kwa babu wa kikombe kuleeeeee loliondo,
nimebaatika kubadilishana nae maneno, na amefunguka vya kutosha,
mipango yake ya kimaisha kwa sasa anachuku masomo ya journalism, anataka aje awe mwandishi mzuri wa mambo ya jamii yake.......
na kama unavyomuona hapo alipo ndipo anapopumzisha mwili wake, kwa habari ya yeye anavyolala amesema haituhusu, kwa hicho ukionacho ndiyo kitanda chake.......
na hi ni moja kati ya mapozi yake, ambayo hua anatokelezea akiwa antaka kwenda kujirusha, sehemu mbalimbali,
nlipo muuuliza kwanini anapendelea mapozi hayo akadai anataka kuwa wa tofauti na watu wengine woooooote......
but tuseme za ukweli AMETOKELEZEAAAAAA.......
Home
>
Untagged
0 comments:
Post a Comment