Habari Mpya

Saturday, July 21, 2012

Mungu ninakushukuru kwa kunipa hili jukumu la kusaidia wale wanaotaka huduma hizi, tena bado naomba unizidishie uwezo na maarifa meeeengi  ya kudumisha ubora wa huduma hizi zote ninazofanya........

Keki hii nayo ni moja kati ya kazi za SHANGWE INTERTAINMENT.... jaribu leo ujione na kwako


 ukweli maisha haya yakibongo ni kama GWARIDE afande akisema mguuu pande! mguu sawa! nyumaaaaazzz geuka!
bila kujijua wala kuelewa yule wa mwisho anajikuta amekuwa wakwanza, hivyo na kushauri usikate tamaaaa..... one day yes kwako, nawe utakuwa wa kwanza kimaisha........
                                     NYUMAAAAAAAAAAAAZZZZZZ.... GEUKA!

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: Description: Rating: 5 Reviewed By: mcjohnminja.blogspot.com
Scroll to Top