Habari Mpya

Saturday, July 21, 2012


 Eee Mungu uliye nibariki mimi na Musa na hata Eliya na Elisha pia na wengine wooooote naomba sasa umbariki na huyu dada yangu mpendwa kufikia malengo yake katika maisha yake,
 kwa masomo kufaulu vizuri,
kwa mume ambaye anampenda,
kwa familia nzuri tena takatifu
huyu dada ni kati ya rafiki mkubwa wa dada yangu, kwa sasa  amekuwa ni ndugu yangu wa karibu, tena nampenda cous ananipa heshima kama kaka yake wa kuzaliwa, jamani kuwa na madada wanaokupenda ni raha wajikuta unanenepa bila hata ya kula chakula chochote


MUNGU BARIKI DADA YANGU HUYU PAKA ASHANGAEEE......
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: Description: Rating: 5 Reviewed By: mcjohnminja.blogspot.com
Scroll to Top