Habari Mpya

Friday, July 20, 2012

nawashukuru wale woooote ambao wameshatambua huduma za SHANGWE INTERTAINMENT na kufurahia huduma zake. hakika hauwezi kufurahia au kuelewa kama huja shuhudia huduma hizi wewe jaribu leo na ukiona mbaya usisubirie kesho we waambie hapohapo huduma zenu mbaya,,,,,,,,
                           WOOOOOTE MNAKARIBISHWA
             kwa CHAKULA, MAPAMBO, MUZIKI na MC'S

     wafanye watu waikumbuke shughuli yako, kutikana na ubora wake..
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: Description: Rating: 5 Reviewed By: mcjohnminja.blogspot.com
Scroll to Top