mwanzo wa safari toka kanisani Bethel Mwembesongo |
watu wakiwa na hamu ya kufika eneo la tukio... |
kabla ya mengineyo... tukaaanza na chai.. watu wapate nguvu |
mchungaji Olembae akaja kwa ajili ya neno la ufunguzi |
baada ya ufunguzi.... tukaanza na presentation ya TIME ROBERING... | ikiongozwa na Dr. Lazaro Busagala |
magrupu yakatengwa kwa kuandaa mada |
magrupu kuandaa mazingira ya kuwasilisha mada zao |
uwasilishaji wa mada |
Mwl. Dr. Lazaro Busagala akifanya mjumuisho wa mada |
moja kati ya michezo... kunywa soda ya cocacola mfululizo mwanzo mwisho |
segment ya interview ikafika tukajua mengi sana |
Miss Neema Sumari akidadavu mambo |
after interview... kwa wanaohitaji contancts kwa msaada zaidi |
kuonyesha mapozi nako ilikuwa ni moja ya kusudio |
muda ukafika wa kazi kuu iliyotuleta hapa duniani... (KULA) |
muda wa kujuana zaidi na kuonyesha upendo wa kweli |
kama kawaida.... kutimiza ukweli wa furaha ya sherehe |
mchezo wa kukimbia na kupasua pulizo ukafika.... full raha... |
baadae nje.... mcezo wa kula biskuti, ilyowekwa katika paji la uso.. pasipo kuishika na mkono |
ongeza juhudi dada |
bado kidogo anashinda... |
bingwa wa kila mwaka katika mchezo huu.... akionyesha ufundi wa kushusha biskuti mdomoni bila kushika |
tukaja katika mbio za magunia kwa wanaume... |
kisha wakafuata wadada |
mchezo wa kufunga macho na kumlisha mtu uliye ambiwa kumlisha bila ya kufungua macho |
haya mabaunsa wakiume wakaonyesha ubaunsa wao kwa kuvuta kamba |
baadaye wadada nao wakaonyesha yao |
wasaa wa dhawadi kwa washindi wa michezo yooote |
baadhi ya washindi wakifurahiya zawadi zaoo |
member wooote walioshiriki |
after event... at Mazimbu Campus SUA |
0 comments:
Post a Comment