jirani yake abunuasi alikua anataka punda kwa ajil ya kusafirisha mizigo yake,akamwendea abunuasi akamwabia jiran naomba niazimishe punda wako,abunuas akamjibu mimi sina punda,jamaa akafadhaika sana akawa anatoka lkn kabla ajakwenda mbali akamsikia punda akilia toka kwa abunuasi akarudi haraka akamwambia abunuasi umesema huna punda lkn nimeskia mlio wake,abunuasi akamjibu kwan unataka punda au mlio?akimaanisha yeye ana mlio tuu lakini hana punda..
ukweli ukiambiwa unaakili za bunuasi.... jinaniii cheki kisa hichi cha.. Abunuasi na kisa cha punda.....
ABUNUASI NA KISA CHA PUNDA..
jirani yake abunuasi alikua anataka punda kwa ajil ya kusafirisha mizigo yake,akamwendea abunuasi akamwabia jiran naomba niazimishe punda wako,abunuas akamjibu mimi sina punda,jamaa akafadhaika sana akawa anatoka lkn kabla ajakwenda mbali akamsikia punda akilia toka kwa abunuasi akarudi haraka akamwambia abunuasi umesema huna punda lkn nimeskia mlio wake,abunuasi akamjibu kwan unataka punda au mlio?akimaanisha yeye ana mlio tuu lakini hana punda..
jirani yake abunuasi alikua anataka punda kwa ajil ya kusafirisha mizigo yake,akamwendea abunuasi akamwabia jiran naomba niazimishe punda wako,abunuas akamjibu mimi sina punda,jamaa akafadhaika sana akawa anatoka lkn kabla ajakwenda mbali akamsikia punda akilia toka kwa abunuasi akarudi haraka akamwambia abunuasi umesema huna punda lkn nimeskia mlio wake,abunuasi akamjibu kwan unataka punda au mlio?akimaanisha yeye ana mlio tuu lakini hana punda..
0 comments:
Post a Comment