Makala baada ya kukagua tanki la maji katika mji mdogo wa Mvomero wilaya ya Mvomero.PICHA/MTANDA
Mkazi
wa mji mdogo wa Lupiro akiwa amepumzika katika pikipiki huku akimsubiri
mhudumu wa kisima kilichopo kijiji hicho ili kuweza kupata huduma hiyo
wakati wa ujio wa naibu waziri wa maji Amos Makala wa kukakagua miradi
ya maji wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro.
Naibu
waziri Amos Makala akizungumza jambo na wananchi wa kijiji cha Kibati
juu ya miradi ya maji katika kijiji hicho kilichopo wilaya ya Mvomero.PICHA/MTANDA BLOG
Meneja
wa kampuni ya Ruqman, Said Assey akimsikiliza naibu waziri wa maji Amos
Makala kulia wakati akitoa maelekezo ya kurejea kazini baada ya kampuni
hiyo kudaiwa kufanya mgomo wa kukataa kuendelea na kazi.PICHA/MTANDA BLOG
Mhandisi wa maji wilaya ya Mvomero Gabriel Ngongi kulia akitoa ufafanuzi wa jambo kwa Naibu waziri wa maji Amos Makala.
Wananchi wa kijiji cha KWADOLI.
Mwenyekiti
wa kijiji cha KWADOLI, Yusuph Hamis akizungumza jambo mbele ya Naibu
waziri wa maji Amos Makala wakati waziri huo alipofanya ziara ya kukagua
sekta ya miradi ya maji wilaya ya Mvomero.
Makala
baada ya kuangalia mipira ya bomba kwa ajili ya kutandika chini ili
kusambaza maji katika mradi wa maji kijiji cha KWADOLI.
Akizungumza jambo katika mkutano na wanakijiji wa Magadu ukumbi wa soko kuu la kijiji hicho
Mwandishi wa kituo cha Abood Media, Emmanuel Victor Mdoe akichukua habari katika ziara hiyo ukumbi wa soko kuu la Magadu.
Akizungumza jambo katika mkutano katika kijiji cha Magadu ukumbi wa soka.
Mkazi
wa Magadu wilaya ya Mvomero, Said Hamad akizungumza jambo kwa naibu
waziri wa maji katika mkutano uliofanyika ukumbi wa soko la kijiji hicho
mara baada ya waziri huo kutembelea sehemu mbalimbali za miundombinu ya
ujenzi wa visima vya maji.
Wananchi wakiagana na Naibu waziri wa maji mara baada ya kuongea nao katika ukumbi wa soko la Magadu.
Naibu
waziri wa maji Amos Makala akimsikiliza mkuu wa wilaya ya Kilosa Elias
Tarimo kulia ni Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya hiyo, Masalu Mayaya
muda mfupi kabla ya kutembelea katika tanki la maji Kilosa.
Mhandisi
wa maji wilaya ya Kilosa, Mathias Mwenda (katikati) akifafanua jambo
kwa Naibu waziri huku Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya hiyo, Masalu
Mayaya.
Naibu waziri Makala akimsikiliza mkuu wa wilaya ya Kilosa Elias Tarimo.
Sehemu ya wanahabari katika ziara hiyo.
Mkuu wa wilaya ya Gairo Hajat, Hanifa Karamagi akifafanua jambo ofisini kwake kwa Naibu waziri wa Maji Amos Makala mara baada ya kuwasiri wilaya ya Gairi.
Mbunge
wa jimbo la Gairo Ahmed Shabiby akifafanua jambo mbele ya naibu waziri
Amos Makala (hayupo pichani) muda mfupi kabla ya kutembelea vyanzo vya
maji katika wilaya ya Gairo.
Makala
akitembea kwa tahadhali wakati akielekea kutembelea chanzo cha maji cha
Magongoko wilaya ya Gairo na maafisa mbalimbali wa serikali ya wilaya
hiyo, kulia ni Meneja wa kampuni ya Serengeti Ltd, Askar Rahmani.
Naibu
waziri wa maji Amos Makala kushoto akielekezwa jambo na Mbunge wa jimbo
la Gairo Ahmed Shabiby kwa kumwonyesha chanzo cha maji kilichopo mlim
Masenge ambacho kinaweza kutengwa mji ya mtiririko wakati wa ziara ya
naibu waziri eneo la Ng'olongo kukagua miradi ya maji na kupokea taarifa
ya upatikanaji wa huduma ya maji wilaya ya Gairi mkoani Morogoro. Kulia
ni mkuu wa wilaya ya Gairo Hanifa Karamagi.
Naibu
waziri wa maji Amos Makala kushoto akielezwa jambo na Mhandisi mkazi
Daktari, Josephat Singano katika eneo linapojengwa tanki la kusambaza
maji la Magoeko katika mji wa Gairo .kutoka kushoto ni mbunge wa jimbo
la Gairo, Ahmed Shabiby na kulia ni Meneja wa kampuni ya Serengeti Ltd,
Askar Rahmani.
0 comments:
Post a Comment