Habari Mpya

Monday, February 29, 2016

MELI KUBWA KULIKO ZOTE YATENGENEZWA UK (Tazama Picha)

Longer than The Shard and wider than a Boeing 747 wingspan:

Fanfare: Oasis' sister ship, Quantum of the Seas, will also be arriving in Southampton in just two weeks
The world's largest cruise ship arrived in the UK today for the first time.
 
 
 
 
MUHIMU KWAKO....!!!
kama wewe ni mtafutaji wa kujitegemea au unatarajia kuja kuwa.... zingatia hii

JOINT SCOPE LTD imedhamiria kutoa msaada wa ushauri bure, kwa wanaotarajia au wanataka kusajili BUSINESS NAME au COMPANY LIMITED n.k.
 
hapa utaelezwa mchakato mzima na kila kinachohitajika wakati utakapotaka kufanya usajili wa kampuni au Jina la Biashara kupitia Brela, ambayo ndiyo mamlaka pekee Tanzania yenye mdhamana ya kusajili Kampuni (Company LTD) na Jina la Biashara (Business Name), Logo n.k.
 
Tumeamua kutoa huduma hii ya ushauri bure kutokana na kero za matapeli tulizokutana nazo na tulishindwa kuwatambua kutokana  na kutoweza watambua kwa kutojua ukweli halisi wa vinavyohitajika wakati wa usajili wa Kampuni ya JOINT SCOPE LTD.
 
"Ni vyema Kutafuta Elimu ya Jambo Unalotaka Kufanya Kwanza Kabla ya Kuanza Kufanya"

Kwa Mawasiliano
Simu: 0712 479 905

E-mail; jointscope@gmail.com

P.O. Box 2574 Morogoro - Tanzania

Huduma hii ni Bure kwa watanzania Tu!

ToGether We Can.....!!!!!

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: MELI KUBWA KULIKO ZOTE YATENGENEZWA UK (Tazama Picha) Description: Rating: 5 Reviewed By: mcjohnminja.blogspot.com
Scroll to Top