20 – Kenya
Ikulu
ya Kenya wanatajwa kutumia Mercedes-Benz Pullman S600 bei yake inatajwa
kufikia dola 50,000 ambazo ni zaidi ya milioni 100 za Kitanzania
19 – Italia
Italia
wao wanatajwa kutumia gari aina ya Lancia Thesis yenye thamani ya dola
65,709 ambazo ni zaidi ya milioni 140 za kitanzania.
18 – Japan
Hii
ndio gari inayotumiwa na Ikulu ya Japan Toyota Century Royal thamani
yake ni dola 85,500 zaidi ya Tsh milioni 180 za kitanzania
17 – Singapore
Serikali
ya Singapore inatajwa kutumia gari aina ya Mercedes-Benz S350L yenye
thamani ya dola 85,995 ambazo ni zaidi ya milioni 185 za kitanzania.
16 – Uzbekistan
Ikulu ya Uzbekistan wanatumia Range Rover Supercharged bei yake ni dola 103,195 ambazo ni zaidi ya Tsh milioni 225
15 – Morocco
Kwa Morocco inatumiwa Mercedes 600 Pullman bei yake ni dola 120,384 ambazo ni zaidi ya Tsh milioni 260
14 – Korea Kusini
Korea
Kusini Hyundai Equus VL500 (550) Limousine yenye thamani ya dola
122,180 ndio inatumika katika nchi hiyo. yake thamani yake ni zaidi ya
Tsh milioni 265
13 – Norway
Norway wanatumia Binz Limousine yenye thamani ya dola 128,351 ambazo ni zaidi ya Tsh milioni 280
12 – Brunei
Hii inaitwa Rolls Royce Phantom VI ina thamani ya dola 148,645 ambazo ni zaidi Tsh milioni 320
11 – Ujerumani
Ikulu ya Ujerumani wanatumia Mercedes-Benz S600L thamani yake dola 174,890 ambazo ni zaidi ya Tsh milioni 380
10 – India
Mercedes-Benz S600 (W221) Pullman Guard thamani yake ni dola 180,000 zaidi ya Tsh milioni 390
9 – Philippines
Mercedes-Benz W221thamani yake dola 250,547 ambazo ni zaidi ya Tsh milioni 540
8 – Urusi
Mercedes S-Class Limousine thamani yake ni dola 251,417 zaidi ya Tsh milioni 545
7 – Malaysia
Maybach 62 thamani yake ni dola 394,000 zaidi ya Tsh milioni 850
6 – UK
Jaguar XJ Sentinel thamani yake dola 455,025 zaidi ya Tsh milioni 990
5 – Thailand
Maybach 62 Limousine thamani yake inafikia dola 500,000 zaidi ya Tsh bilioni 1
4 – Vatican
Mercedes-Benz M-Class bei yake inafikia dola 524,990 ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 1.1
3 – China
China wanatumia Hongqi Limousine ya dola 801,624 zaidi ya Tsh bilioni 1.7
2 – USA
Cadillac One hii inatajwa kuuzwa dola milioni 1.5 na hutumiwa na Rais wa Marekani Barack Obama zaidi ya Tsh bilioni 3.2
1 – Malkia wa Uingereza ndio anatumia gari yenye thamani kuliko zote.
Bentley State Limousine inatumiwa na Malkia wa Uingereza thamani yake ni dola 15,167,500 zaidi ya Tsh bilioni 33
0 comments:
Post a Comment