Habari Mpya

Sunday, February 28, 2016

WAALIMU WA DAR ES SALAAM KUSAFIRI BUREEEEE

Walimu wa shule za msingi na sekondari za umma mkoani Dar es Salaam wataanza kusafiri bure kwenye daladala kuanzia tarehe 7 Machi 2016.
 

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paulo Makonda na viongozi wa vyama vya usafirishaji abiria jijini Dar wanazungumza na wanahabari hivi sasa.
 
Walimu wstatengenezewa vitambulisho maalum ili kuwaondolea usumbufu.
 
Huduma hiyo ni katika kuwapunguzia adha ya usafiri na ugumu wa maisha ikiwa ni pamoja na kuunga mkono juhudi za serikali za kutoa elimu bure.
Muda wa kuwasafirisha bure ni saa 11.30 hadi 2 asubuhi na saa 9 hadi 11 jioni. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: WAALIMU WA DAR ES SALAAM KUSAFIRI BUREEEEE Description: Rating: 5 Reviewed By: mcjohnminja.blogspot.com
Scroll to Top