SOMO LA LEO: UMUHIMU WA ASALI, FAHAMU ASALI HALISI NA FEKI, SOMA HAPA.
TUNAFAHAMU kwamba asali ina umuhimu mkubwa sana katika mwili wa binaadamu, lakini watu wengi wamekuwa wakipigwa kwa kuuziwa asali feki, sasa leo nimeona niwape darasa wanunuzi wa asali ili wasiweze kununua asali feki.
Maana sehemu nyingi hasa Kariakoo, wafanyabiashara wamekuwa wakiuza asali ambayo haina ubora kwa kuchanganya maji na sukari guru.Njia ya kwanza, chukua njiti ya kibiriti kisha ichovye sehemu yenye baruti kwenye asali unayotaka kuinunua, kisha iwashe njiti hiyo kwa kutumia kibiriti chako, ikiwaka, ujue hiyo ni asali kweli.
Njia ya pili, dondosha asali chini katika mchanga, ukiona sehemu ya mchanga iliyolowana ikijikusanya pamoja ujue hiyo nii asali orginal.Njia ya tatu, Chukua karatasi jeupe, dondoshea asali njia juu yake, kama ikichelewa kutokea upande wa pili, ujue hiyo asali safi na inafaaa kwa matumizi ya binaadamu.
Bado kuna njia nyingine ambayo hutumiwa na baadhi ya watu, kama vile kuimwaga katika kiganja cha mkono wako, ukiona tone la mwisho linabakia kwenye chupa kuja mkononi, hiyo ni asali nzuri.Pia wengine huangalia kama ikiwa kwenye chupa huwa inatengeneza alama yenye mfano wa korosho.
FAHAMU MATUMIZI YA ASALI KWA UPONYAJI WA MISHONO YA OPERATION.
Asali Imekua inatumika kwa miaka mingi kwasababu zifuatazo:-
1. Ina kiwango kikubwa cha sukari ( High Sugar content) inayofanya bakteria washindwe kuzaliana au kuishi.
2. Ina kiwango kidogo cha unyevu ( Low Moisture content) - hii inafanya kidonda kiwe kikavu
3. Ina HYDROGEN PEROXIDE ambayo inazuia bakteria
4. Gluconic acid ambayo inatengeneza mazingira ya Acid kwenye kidonda na hivyo kuzuia ukuaji wa bakteria.
Faida ya kutumia ASALI kwenye mishono ya operation ni pamoja na:-
1. Inapunguza kuvimba kwa kidonda na pia uvimbe wa kidonda
2. Inaongeza spidi ya uponaji wa kidonda.
3. Inasafisha kidonda
MATUMIZI YAKE
Unaweza paka hadi mara mbili kwa siku kuharakisha uponaji, lakini hakikisha asali hiyo ni safi.
ANGALIZO
Unashauriwa upate ushauri wa kitaalamu kwanza wa daktari wako kabla ya kujiamulia kupaka mwenyewe nyumbani ili kufanya kitu sahihi.
MAGONJWA YANAYOTIBIWA KWA MATUMIZZI YA ASALI
1. Ugonjwa wa viungo/maumivu na uvimbe.
2. Kukatika kwa nywele.
3. Ukungu wa miguu.
4. Maambukizo kwenye kibofu cha mkojo.
5. Maumivu ya jino.
6. Lehemu (Cholestral).
7. Ugumba
8. Mchafuko wa tumbo.
9. Ugonjwa wa moyo
10. Shinikizo la damu.
11. Kinga ya mwili.
12. Ukosefu wa nguvu za kiume.
13. Flu.
14. Umri wa kuishi.
15. Chunusi.
16. Kuumwa na wadudu (kwa washawasha) wenye sumu.
17. Madhara ya ngozi.
18. Kupungua kwa uzito.
19. Saratani.
20. Uchovu mwilini.
22. Harufu mwilini.
23. Kupungua kwa usikivu.
TUMIA ASALI KAMA KINGA NA TIBA MBADALA KATIKA MAISHA YAKO YOTE, WAHI SASA
Katika picha ni muonekano mpya wa Asali toka FANO2010 Products ikiwa ni vifungasho vipya vyenye ubora wa kisasa sambamba na kuwekewa seal ili kuwahakikishia walaji usalama wa afya zao.
USIPATE SHIDA KUJUA BEI ZA FANO2010 Product
1. ASALI YA NYUKI WAKUBWA
ASALI YA 850g INAUZWA TSHs 10,000
ASALI YA 450g INAUZWA TSHs 5,500
2. ASALI YA NYUKI WADOGO
ASALI YA NUSU LT INAUZWA TSHs 16,000
ASALI YA ROBO LT INAUZWA TSHs. 8,000
BEI ZETU ZA MDALASINI NI KAMA IFUATAVYO
1.MDALASINI 250g INAUZWA TSHs 4,000
2. MDALASINI 50g INAUZWA TSHs 1,000
Unapo nunua kwa wingi unapewa na huduma ya kukufikishia unapohitaji.
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa :
watafute leo kwa
P.O.BOX 5003,Dar es Salaam.
Tel:0715/0754 274070,0784 274079
E-Mail:fano2010ltd@gmail.com
WAHI MAPEMA KABLA HAUJAINGIA GHARAMA KUBWA KUREKEBISHA AFYA YAKO TUMIA FANO2010 Product."BORA KUKINGA KULIKO KUTIBU
0 comments:
Post a Comment