
Msaada
huo uliotolewa na Rais ni pamoja na Mchele, Mbuzi na mafuta ya kupikia
ambao utakwenda kwenye vituo 6 vya watoto yatima vilivyoko jijini jijini
Dar es salaa, na vituo viwili vya Zanzibar, Tabora, Kilimanjaro,
Manyara, Kigoma, Kagera na Morogoro na kituo kimoja kwa mikoa ya Tanga,
Ruvuma, Shinyanga, Mtwara na Mara.
Akikabidhi
msaada huo kwa niaba ya Rais kwa wafanyakazi wa vituo hivyo Kamishna wa
Ustawi wa Jamii Rabikila Mushi amesema kuwa msaada huo uliotolewa na
Rais Magufuli ni moja ya utaratibu wa kawaida wa Marais tangu awamu nne
zilizopita kuwapatia zawadi makundi maalum vyakula ili kuwawewezesha
kufurahi na kusherehekea sikukuu mbalimbali kama wananchi wengine wa
kawaida katika jamii.
0 comments:
Post a Comment