Ukijaliwa kuwa Msichana
mzuri na mrembo,usidhani utatetemesha kila Mwanaume, kuna wanaume na
akili zao kichwani,urembo wako hauwasumbui,kama bichwa lako ni
kanyaboya,uzuri wako hausaidii kitu,na utashangaa no one is paying
attention,watu utakaowapata ni
walewale kanyaboya wenzako, na hawana futuretabaki unaliwa bure kila siku unatoa macho. Ukipata mwanaume anakupenda unaanza drama zako na kupiga watu danadana,madai yako hujali na unadhani hata akiondoka utapata
mwingine kisa wewe ni mzuri,la hasha! Mwanaume akijitoa mhanga kukupenda kwa uzuri wako mheshimu,maana viumbe wa kike wakiwa wazuri ni shida na matatizo hakuna mtu anataka,sasa ukimwongezea na drama pamoja na yeye kujigeuza mpalestina kwako utajikuta umeolewa na kioo cha chumbani kwako,maana hicho ndo kinakudanganya sana kwamba we ni mrembo, Watch out, drama zina mwisho,leo unacheza na mioyo ya watu unajiona we kifaa,usidhani wanaume hawaumii, tunaumia sema hatusemi tu,machozi yetu kama ya samaki, tunalia ndani kwa ndani

0 comments:
Post a Comment