Habari Mpya

Friday, March 04, 2016

Waziri Jenista Mhagama Amteua Dr. Wangwe Kuwa Kaimu Mkurugenzi wa NSSF ....Hata Hivyo Uteuzi Huo UMETENGULIWA Mpaka Utakapotangazwa Tena

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Dkt. Carina Wangwe akifafanua jambo kwa wajumbe wa bodi wa shirika hilo (hawapo pichani ) kabla ya uteuzi huo kutenguliwa.

Masaa  kadhaa baada  ya  uteuzi huo, Waziri mhagama alitangaza  kutengua uteuzi huo kwa madai kwamba kuna baadhi ya taratibu hazijamilika

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: Waziri Jenista Mhagama Amteua Dr. Wangwe Kuwa Kaimu Mkurugenzi wa NSSF ....Hata Hivyo Uteuzi Huo UMETENGULIWA Mpaka Utakapotangazwa Tena Description: Rating: 5 Reviewed By: mcjohnminja.blogspot.com
Scroll to Top