Ucheagu kutoka Joyous Celebration ameibuka kidedea na kutwaa taji la
mwanamuziki bora wa Nyimbo za injili barani afrika huku Benjamin Dube na
Rebeca Malope wakitachguliwa kuwa King and Queen wa Muziki wa Injili
barani Afrika.
Hayo yote yalijili jumamosi iliyopita 1/6/2016 ambapo tuzo maarufu za Gospel nchini Afrika ya Kusini ziitwazo Trumpet Africa Goepel Music Awards zilifikia kilele jijini Pretoria nchini humo.Tuzo hizi huwashirikisha wanamuziki na media mbalimbali zinazouhusu muziki wa injili barani Afrika bila kusahau wanamuziki wa Afrika waishio nje ya bara hili.
Kwa afrika mashariki mwanamuziki Daddy Owen aliweza
kutuwakilisha vyema ambapo alifanikiwa kuchukua tuzo ya Muziki Bora wa
Rap, tukirudi kwa Uche maarufu kama mzee wa Double Double yeye aliweza
kuwapiku ma regend aliokuwa akichuana nao katika kipengele cha mwanamuziki bora wa kwa mwaka 2015/2016,kipengele hicho kiliwahusisha
Katika tuzo hizo za Trumpet Africa Gospel Music awards 2016
mwanamuziki Benjamini Dube na mwanamama Rebecca Malope walitunukiwa
heshima ya kuwa King and QUEEN WA Muziki wa injili barani
Africa.Akizungumza mara baada ya kupewa tuzo hiyo ya heshima Mch
Benjamini Dube aliwashukuru wote waliofanikisha zoezi hilo huku shukrani
za pekee akizipeleka kwa Mungu na familia yake hususani kundi lake na
watoto wake liitwalo DUBE BROTHERS.
Kwa upande wa Rebecca Malope yeye hakuweza kuwepo ukumbini hapo kwa kuwa alikuwa nchini Zimbabwe kihuduma.
Washindi wengine katika tuzo hizo ni kama ifuatavyo
TRUMPET AFRICA BEST GOSPEL SONG WAHAMBA NATHI – SOLLY (SOUTH AFRICA)
TRUMPET AFRICA BEST GOSPEL ARTIST | UCHE (NIGERIA)
ONLINE GOSPEL RADIO | PRAISEWORLD – NIGERIA
FEMALE GOSPEL ARTIST | REBECCA MALOPE (SOUTH AFRICA)
MALE GOSPEL ARTIST | JOE METTLE (GHANA)
BEST GOSPEL GROUP | SOWETO GOSPEL CHOIR (SOUTH AFRICA)
BEST GOSPEL COLLABORATION | TOGGY CHIVAVIRO AND FRIENDS (EBENEZER) ZIMBABWE
BEST GOSPEL ALBUM | BENJAMIN DUBE SANCTIFIED IN HIS PRESENCE (SOUTH AFRICA)
BEST GOSPEL EVENT | CROSSOVER SERVICE (UGANDA)
SALT |DR TEDDY DE ALMEIDA
BEST GOSPEL RADIO PROGRAMME | VUKA MPHEFUMULO WAMI –VOC (SWAZILAND)
ONLINE GOSPEL PLATFORM | GOSPEL HOT SPOT (NIGERIA)
BEST GOSPEL TV PROGRAMME | JUST GOSPEL (BOTSWANA)
BEST TRADITIONAL GOSPEL SONG | SHONGWE & KHUPHUKA (SWAZILAND)
BEST CONTEMPORARY GOSPEL SONG | TIM GODFREY – AGIDIGBA (NIGERIA)
GOSPEL RAP/HIPHOP | DADDY OWEN (KENYA)
BEST PRAISE SONG | SCHEKINA – ADORONS JESUS (IVORY COAST COURTE DE VOIR)
BEST WORSHIP | SAMMIE OKPOSO (NIGERIA)
Hayo yote yalijili jumamosi iliyopita 1/6/2016 ambapo tuzo maarufu za Gospel nchini Afrika ya Kusini ziitwazo Trumpet Africa Goepel Music Awards zilifikia kilele jijini Pretoria nchini humo.Tuzo hizi huwashirikisha wanamuziki na media mbalimbali zinazouhusu muziki wa injili barani Afrika bila kusahau wanamuziki wa Afrika waishio nje ya bara hili.
Mwanamuziki Uche Agu
SONNIE BADU (GHANA)
YVAN SAMUEL MAURO (BENIN)
REBECCA MALOPE (SOUTH AFRICA)
UCHE AGU (NIGERIA)
Kwa upande wa Rebecca Malope yeye hakuweza kuwepo ukumbini hapo kwa kuwa alikuwa nchini Zimbabwe kihuduma.
Daddy Owen
Washindi wengine katika tuzo hizo ni kama ifuatavyo
TRUMPET AFRICA BEST GOSPEL SONG WAHAMBA NATHI – SOLLY (SOUTH AFRICA)
TRUMPET AFRICA BEST GOSPEL ARTIST | UCHE (NIGERIA)
ONLINE GOSPEL RADIO | PRAISEWORLD – NIGERIA
FEMALE GOSPEL ARTIST | REBECCA MALOPE (SOUTH AFRICA)
MALE GOSPEL ARTIST | JOE METTLE (GHANA)
BEST GOSPEL GROUP | SOWETO GOSPEL CHOIR (SOUTH AFRICA)
BEST GOSPEL COLLABORATION | TOGGY CHIVAVIRO AND FRIENDS (EBENEZER) ZIMBABWE
BEST GOSPEL ALBUM | BENJAMIN DUBE SANCTIFIED IN HIS PRESENCE (SOUTH AFRICA)
BEST GOSPEL EVENT | CROSSOVER SERVICE (UGANDA)
SALT |DR TEDDY DE ALMEIDA
BEST GOSPEL RADIO PROGRAMME | VUKA MPHEFUMULO WAMI –VOC (SWAZILAND)
ONLINE GOSPEL PLATFORM | GOSPEL HOT SPOT (NIGERIA)
BEST GOSPEL TV PROGRAMME | JUST GOSPEL (BOTSWANA)
BEST TRADITIONAL GOSPEL SONG | SHONGWE & KHUPHUKA (SWAZILAND)
BEST CONTEMPORARY GOSPEL SONG | TIM GODFREY – AGIDIGBA (NIGERIA)
GOSPEL RAP/HIPHOP | DADDY OWEN (KENYA)
BEST PRAISE SONG | SCHEKINA – ADORONS JESUS (IVORY COAST COURTE DE VOIR)
BEST WORSHIP | SAMMIE OKPOSO (NIGERIA)
0 comments:
Post a Comment