Jeans and Tshirt maarufu kama JnT event ni event inayofanyika kila
jumapili ya kwanza ya mwezi, kwa sasa tukio hili chini ya kauli mbiu
ya REVOLUTION linatarajiwa kufanyika jumapili hii ya tarehe 3/7/2016
ukumbi wa makumbusho ulioko Posta jijini Dar es salaam mkabala na chuo
cha IFM.
Event hii inayoongozwa na Pastor Isaack Malonga kwa muda sasa imekuwa Baraka kwa vijana wengi ambapo kumekuwa na sessions za praise and worship, Neno la Mungu na talent show kadha wa kadha zinazogusa maisha ya wengi hasa hasa vijana, kifupi JnT ndio habari ya mjini kwa upande wa vijana.
Stage Presence/Decoration
Waaaoohh, Kama hujawahi fika kwa event hizi please neanda jumapili hii am sure utalishuhudia hili, kumekuwa na muonekanao tofauti wa stage ya JnT kati ya event moja na nyingine na zote zimesheheni creativity ya hali ya juu kuanzia rangi,taa,mapambo na mengine mengi.
kwa mchunguzi yeyote utagundua kuna watu wanatumia akili, nguvu na maarifa yao KWA BWANA kama DHABIHU ZAO kwake,Pastor Isaack Malonga anaingia kwenye record ya moja kati ya Wachungaji wanaolea na kuthamini huduma zilizoko kwenye mioyo ya watu amabazo kumsikia kanisani hazijazoea kuheshimika na kupewa KIPAUMBELE.
Uvaaji/Dressing Code
Vitenge,Magauni,suti kama sio vyuti,makenzie,Madera ndio mavazi utayoyakuta kwenye concert nyingi nchini, ila Ukisikia Jeans and Tshirts picha ya kwanza itakayojengeka akilini ni Casual, ni mavazi flani hivi ya kazi but smart, hiki ndicho hasa utakutana nacho kwa event hii.
Jeans and Tshirt ndio hutawala tukio hili kwa jinsia zote huku snika, Sandoz,American boots na additions items zote zinazonata na Tshirt na Jeans ndio hutawala tukio hili na kulifanya la kijanja zaidi.
Kwa mgeni anayefika mara ya kwanza anaweza asielewe na kujudge Negative lakini kadri muda unavyoendelea kwenda mbele atagundua hofu ya MUNGU iliyo ndani ya watu inaongea zaidi kuliko chochote.
J nT Ni platform ya Vipaji Mbalimbali
Pamoja na Neno la Mungu na kuwepo kwa Praise and worship kali kutoka The DoorKeepers, bado JnT imekuwa ikiacha nafasi kubwa kwa vijana kumtumikia Mungu kupitia vipaji vyao.Huwezi kwenda JnT NA UKA-BOREKA.
Kuna Dancing team inayojielewa na nadiriki kusema ni Crew BORA kabisa ya Dancing kwa upande wa Gospel nchini. Jamaa wana Energy, Wako Uniform, na wana smart Choreography na zaidi ya yote ni bonge la ma “Hyper(Wahamasishaji)” Ndani ya JnT Kuna watu wanafanya Maigizo kwa ajili ya ufalme na Kuna, Wanamashairi, wanamitindo pia, Ubora wa T-Shirt ziazoenda sanjali la kauli mbiu ya kila event inashuhudia wazi hili.
Kwa habari ya Uhuru wa Kwenda mbele za Mungu pasipo masharti ama desturi za makanisa kunaweza kuwa ni sifa ya ziada ya JnT. Nilichoshangaa JnT kuna watu huwa hawapewi madhabahu kuhudumu makanisani kwao lakini Wanahudumu kwenye JnT na watu wanabarikiwa, Freestyle za Hip Hop na radha zote za muziki huo utazikuta JnT na sio kwenye concert lingine lolote nchini unless liwe ni concert maalumu la muziki wa Gospel Hip Hop tofauti na hapo ni nadra sana fanya uchunguzi utagundua hili.
Ni rahisi kwa mwana Gopel Hip Hop kufanya Uzinduzi wa Video ama Audio kwenye JnT na sio kanisani anako abudia.
To be honest ni wachungaji wangapi wanathamini sanaa za watu zitumike madhabahuni? Na sio kutumika tu ziwe chachu ya kumtangaza Kristo? Ni Maombi Yangu Mungu azidi Kumtumia Pastor Isack Malonga na team nzima ya JnT kwa viwango vya juu zaidi.

Kuna vitu vingi vinavyotofautisha event hii na gospel events nyingi nchini na hapa nitataja vichache.

0 comments:
Post a Comment